Natafuta

Natafuta

bhasi waambie ka unatiba ya ule ugonjwa wao!
gari,ATM nk

Mbona unanitisha ndugu, mi sitaki mwanamke wa hivyo, nataka mwanamke wakupendana naye sio kupenda ATM, GARI, NYUMBA NK
 
Mbona unanitisha ndugu, mi sitaki mwanamke wa hivyo, nataka mwanamke wakupendana naye sio kupenda ATM, GARI, NYUMBA NK

Mwambie ani pm niongee naye
 
Subiri umalize mtihani wa darasa la saba kesho kutwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom