Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,162
- 11,229
Ntakusaidia kwa hili na sitakutongoza coz namuheshimu sana Saint Ivuga5. Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo. Awe wa kike au wa kiume sawa tu
Ila ikiwa ni wa kiume awe shoga ili baadae asije akanitongoza.
mimi sina mapenzi na wachaga! so consider ua self unsuccesful!
3 na 5 count on me !
suala dogo hlo. Ltakuwa solvedWe sio mwislam sasa!
Mwali bana,haya kila la kheri,ila njemba zenyewe kama ni hawa wakware wa chichat........sijui kama utaambulia cha maana.
Mwali hamia Arusha, hayo yote utapata na ziada!
Aje Mbeya ndio mpango mzima!!!
huyu Mpenda Yesu ananitafuta maneno nampa nusu sekunde awe kisha futa hoja yake au sio mke wangu Evelyn Saltunantafuta maneno......mtake radhi mme wangu!!!!!!!!!
mimi sina mapenzi na wachaga! so consider ua self unsuccesful!
mmmmh. cousin. !!!