jamani mbona mi kila siku natangaza kutafuta mwenza(mke) humu lakini hakuna anayejitokeza laikini huenda bado hajaja iwapo yupo basi tuwasiliane ila awe mkristo,elimu ya f4 na kuendelea,awe hajazaa wala kuwahi kuolewa.nami nina sifa linganishi ila elimu yangu ni shahada.
tuwasiliane kwa email: famon1987@yahoo.com