Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Wadau natafuta wimbo wa Msondo ngoma "Make wangu tuelewane" umetungwa na Suleiman Mwannyiro 1997, (Nikuulizapo jambo huja juu, huja juu, kipenzi changu ........) mwenye kufahamu unapatikana link gani, Masada please!