Naomba wimbo wa hakuna mwanaume kama yesu wa kijitonyama kkkt kama unao
Upo yutube
Habari Aggyjay
wimbo uliomba huo hapo enjoy...
Poa mkuu usijaliukiupata nitupie mkuu
Ahsante kwa kibao hiki mkuu, naanza kuvutiwa na nyimbo za waLutheraniHuo sina mkuu, na pia nauhitaji sana. Wakati tunaendelea kusubiri wadau watupatie wimbo Katika Njia ya Injili, naomba ubarikiwe na kibao "Unafikiria nini" kilichoimbwa na KKKT Hai
mi ninao huu sijui nao utakufaaHabari za jioni..
Naomba mnisaidie kupata wimbo wa kwaya ya Lutheran Kimara unaitwa katika njia ya injili mwenye nao VIDEO AU AUDIO aupakie hapa niuchukue..
nimeutafuta site zote naona sio clean version vijana wanauimba kwenye sherehe. tafadhali mwenye nao anisaidie
pia kuna wimbo mwingine nimeusahau jina wa kwaya hiyo hiyo kwenye albam moja na huo wimbo wa katika njia ya injili wanaimba hivi...
"ananipenda huyu yesu anipend, ananijali huyu yesu anijali....
Huuu hapa ila sio uliorekodiwa studio ni vijana tu wamejirikodi wakiuimba kanisani nami nataka uliorekodiwa pia hata kama ni albam nzima poa..
Umeimbwa na nani?Daaaah mkuu ahsante sanaa.. Kwa kunisaidia huu wimbo
Kama utakua na huo wimbo wa bwana yesu ananiprnda naomba unipatie aisee..
Barikiwa Boss