Natafuta wimbo wa kwaya ya Lutheran Kimara unaoitwa "katika njia ya injili"

Naomba Boni mwaitege maisha ni safari kila siku tunasogea

Na ule wa mwizi pale msalabani muimbaji simjui...

Na ule mwingine unaimbwa hivi
Akikukosa mara saba ktk siku moja na kurudi kwako mara saba nakusema....nimetubu....mmmsameheeeeee........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom