Natafuta wimbo wa kwaya ya Lutheran Kimara unaoitwa "katika njia ya injili"

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,432
105,851
Habari za jioni..
Naomba mnisaidie kupata wimbo wa kwaya ya Lutheran Kimara unaitwa katika njia ya injili mwenye nao VIDEO AU AUDIO aupakie hapa niuchukue..
nimeutafuta site zote naona sio clean version vijana wanauimba kwenye sherehe. tafadhali mwenye nao anisaidie
pia kuna wimbo mwingine nimeusahau jina wa kwaya hiyo hiyo kwenye albam moja na huo wimbo wa katika njia ya injili wanaimba hivi...

"ananipenda huyu yesu anipend, ananijali huyu yesu anijali....

Huuu hapa ila sio uliorekodiwa studio ni vijana tu wamejirikodi wakiuimba kanisani nami nataka uliorekodiwa pia hata kama ni albam nzima poa..
 
Hiii ni maalumu kwa Wakristo wakatoliki wooote walio katika kipindi cha majilio..

Attachments

  • Hii ni sauti.mp3
    10 MB · Views: 75
Huo sina mkuu, na pia nauhitaji sana. Wakati tunaendelea kusubiri wadau watupatie wimbo Katika Njia ya Injili, naomba ubarikiwe na kibao "Unafikiria nini" kilichoimbwa na KKKT Hai
 
Ahsante kwa kibao hiki mkuu, naanza kuvutiwa na nyimbo za waLutherani
 
Habari za jioni..
Naomba mnisaidie kupata wimbo wa kwaya ya Lutheran Kimara unaitwa katika njia ya injili mwenye nao VIDEO AU AUDIO aupakie hapa niuchukue..
nimeutafuta site zote naona sio clean version vijana wanauimba kwenye sherehe. tafadhali mwenye nao anisaidie
pia kuna wimbo mwingine nimeusahau jina wa kwaya hiyo hiyo kwenye albam moja na huo wimbo wa katika njia ya injili wanaimba hivi...

"ananipenda huyu yesu anipend, ananijali huyu yesu anijali....

Huuu hapa ila sio uliorekodiwa studio ni vijana tu wamejirikodi wakiuimba kanisani nami nataka uliorekodiwa pia hata kama ni albam nzima poa..

mi ninao huu sijui nao utakufaa
 
Attachments

  • RC BIKIRA MARI KATIKA NJIA YA INJILI ( 128kbps ).mp3
    4.5 MB · Views: 61

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom