Natafuta wimbo wa Hard Mad - Tamala

Natafuta wimbo wa Hard Mad - Tamala

Nchi imepoteza mtu na nusu kisa fitina za wadau

Aisee
 
Nilikuwa sijui
Huyo hapo Mika mwamba
Screenshot_20231124-083323.jpg
 
Huwezi amini leo nlikuwa nautafuta huu wimbo wa hardmad na nimeudownload humu humu.. wimbo unanikumbusha mbali sana.. jamani mika daaah..
Na huyooo anayeitkia ni Dada yake anaitwa Fatma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom