Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,871
- 8,381
Heshima kwenu wakuu.
Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikitafuta huu wimbo au hata jina la kwaya hi ya zamani iliimba wimbo wa PESA na albam yao ikiitwa hvo hivo PESA, na kasha lake lilikuwa na picha ya noti ya 500 ya zamani kama inavyoonekana hapo chini
Naombeni sana msaada wakuu!!!