Natafuta watu wanaonunua lami

Natafuta watu wanaonunua lami

Mm nafanya kazi kama wakala wa kampuni inayo jishughulisha na kuuza LAMI Yoyote anaweza nipatia connection
ya mtu anaenunua lami za kutengeneza barabara malipo atapata kutokana na mzigo atakaochukua unaeza acha namba yako ntakutafta mwemyewe kweny comments.
Ni Pm mawasiliano yako
 
Iran Iko banned [emoji724] kufanya biashara kwa miradi ambayo pesa Inatoka US na Ulaya, ningekuunganisha pahala
Mzigo upo Tanzania kabla ya BAN cio kwamba ndo tuna import leo ndo tuna malizia mzigo uliobaki thus tunafunga biashara natumaini umenielewa.
 
Back
Top Bottom