Natafuta watu wanaokata bodi za magari

Natafuta watu wanaokata bodi za magari

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
wadau ninatafuta mtu anaedili na kukata bodi magari tufanye biashara....mimi nina gari nataka tuongee utaratibu uko vp....gari yangu ni nissan patrol...body imechoka kdg ndio maana nikawaza kuiza kwa staili hiyo...najua kwa upande wa engine na gear box iko vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom