Natafuta watu wakushirikiana nao ku invest katika filamu za kibongo

TBO

Senior Member
Jan 3, 2014
194
87
Habarini wana JF na pia poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Natafuta watu nitakaoweza kushirikiana nao ku invest katika filamu za kibongo kama upo interested ni PM tuzungumze kwa undani zaidi.
 
Hii tasnia ishakufa kibudu, unless umekuja na mbinu za kinijeria!! Sorry hawa nao kumbe weshaded, Hollywood skills hapo Safi
 
tasnia haijafa bali kazi bora ndio zimekufa
 
Mkuu nadhani Mungu ametukutanisha katika wakati muafaka.. Nna skills in editing and directing.
 
Habarini wana JF na pia poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Natafuta watu nitakaoweza kushirikiana nao ku invest katika filamu za kibongo kama upo interested ni PM tuzungumze kwa undani zaidi.
Nicheki apa 0765961152
 
Back
Top Bottom