Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

kichakorojack

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
78
Reaction score
12
Hello wandugu,

Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe please nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje.

Ahsanteni.
 
Upo wap ..?!

Au unataka upewe namba za simu za fundi iliyepo Kagera then useme huwezi kwenda kuna tetemeko/ mbali..?!
 
Hello wandugu.. Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe pls nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje.

Ahsanteni.
Upo mkoa gani
 
Sema ulipo, utaletewa huduma hadi sebuleni kwako
 
Hello wandugu.. Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe pls nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje.

Ahsanteni.
Bajeti yako shs. ngapi?
 
Hello wandugu,

Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe please nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje.

Ahsanteni.
Mkuu kama hutaki kulizwa na mafundi sofa nenda kiwanda cha ngozi himo, wanauza ngozi na wana duka la sofa na makoti
 
Hello wandugu,

Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe please nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje.

Ahsanteni.
Kuna Fundi mmoja mbaba yuko tabata, ametutengenezea sofa nzuri sana kwanza unachagua unalotaka kama unapicha, anakushauri material ya laser then mnakubaliana Bei, nilivyoenda kuangalia maana nilisema yasije kuwa tunafanyiwa kama Fundi wa kwnza niliona kweli material ya hadi ndan yako imara, pili nimwaminifu akikuambia siku Fulani naanza anaanza na kama anakazi ya MTU anakuambia. Namba hadi sister Stoke kazini au nikuelekeze alipo hapo tabata.
 
Asante sana Mkuu, ukipata namba yake naomba mkuu
 
Kuna Fundi mmoja mbaba yuko tabata, ametutengenezea sofa nzuri sana kwanza unachagua unalotaka kama unapicha, anakushauri material ya laser then mnakubaliana Bei, nilivyoenda kuangalia maana nilisema yasije kuwa tunafanyiwa kama Fundi wa kwnza niliona kweli material ya hadi ndan yako imara, pili nimwaminifu akikuambia siku Fulani naanza anaanza na kama anakazi ya MTU anakuambia. Namba hadi sister Stoke kazini au nikuelekeze alipo hapo tabata.

Mkuu unaishi kwa shemeji yako
 
Hello wandugu,

Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe please nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje.Ahsanteni.

Ingia instagram watafute pexiesfurnitures. Kashindwe bei
 
Back
Top Bottom