tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
Aise w jamaa chunya kuna ufugaj dhahabu kilimo napia biashar..kuna kila fursa z uchumi,why kuharibu mazingira mku?SHAME
mkuu vuna mkaa kadri uwezavyo ndio nishati iliyobaki kwa sisi walala hai
kwani ccm wamepandisha bei ya mafuta ya taa,gas,umeme....
hakuna nushati rahisi kwetu zaidi ya mkaa.
__We unayesema asikate miti tupe nishati mbadala kwa sisi wakaanga chips na kiti moto!!!
Mkuu jiangalie kibali unacho?
tatizo ni bei ya mkaa,bei ya mkaa,bei ya mkaa,........... taja bei