Natafuta wataalamu-surveyor wa kupima mashamba

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
8,920
Reaction score
4,244
Wakuu JF,
Ninaomba kwa yeyote anayefahamiana na wataalamu wa kupima mashamba kwa ajili ya hati aniunganishe nao au anipe contact na details zao.Hata kama ni mwana JF itakuwa ni jambo jema pia.Nimewaomba msaada huo kwa kuwa utapeli wa bongo ni mwingi na nikienda kichwakichwa nitalizwa.
Nitashukuru zaidi pia kwa wenye uelewa wa masuala haya wanipe ushauri kwa kuwa procedure zake zinafika hadi wizara ya ardhi.
Asanteni.
 
Elezea hilo shamba liko sehemu gani, i mean mkoa / wilaya gani?
 
Ingekuwa vyema ukanyumbulisha yalipo mashamba na ukubwa wake ili tukuunganishe na wapimaji
 
Sokwe na chrispin,
asanteni,hilo shamba lipo Pwani.Kama mna idea na mambo hayo ya kupima tafadhali nipeni details zaidi.
 
Pwani nayo kubwa hebu jaribu kuweka wazi Kibaha nayo Pwani alafu Kisarawe nayo Zambia.
 
Naona Fidel80 huna mpango wa kunisaidia.Sasa hayo yote ya nini kwani wataalamu wana mipaka ya kufanya kazi? mwenye nia ya kunisaidia kweli,nita-MP details nyingine na kuongea mengi zaidi kuhusiana na hilo.
 
ZD,

Bila longolongo, cheki na member anaitwa Expertbroker namba yake ni 0754 85 82 45....Ukishindwana naye, ni PM nikupe mwingine wa mtaani! Huyu member ni mzuri sana, ilikuwa akanipimie na mm kieneo changu kinyerezi!
 
Thenki yu veri much Next level.thats why you are next level and you will always be Next level.
 
Plz, Get in touch with Mr. Komba. he is an experienced surveying professional, reach him through 0713766106. Clean job assured.
Good Luck
 
Kwa ushauri mwingine mpigie member anitwa kjon na namba yake ni 0719311367
 
Back
Top Bottom