Natafuta wasichana wanne wa kuajiri/shareholders kwenye project hii

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,732
age iwe kwene 18-30 wasafi
wawe wanaishi Dar es salaam
wawe wana malego ya kuwaza mbali ikibidi kuwa share holder wa kampuni baadae

waweze kujua kutumia mitandao ya kijamii vizuri
wawe tayari kufanya kazi bila kushurutishwa

wasiwaze saana kuhusu mshahara mkubwa kwani ndio tunaanza wawe tayari kufanya kazi kwenye mazingira ya wazi coco kwenye sheli kariakoo na kwene bars kwa baadae
tapatalk_1534568268078.jpeg
IMG_20180814_143920.jpg
IMG_20180814_155615.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom