Natafuta wakulima wa zao la Hops

Natafuta wakulima wa zao la Hops

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,311
Reaction score
2,196
Habari wakuu. Kama kuna mkulima wa zao la Hops naomba tuwasiliane hapa 0786817145 au 0768734611
 
Mkuu hilo zao halilimwi bongo na mpaka sasa sijui kwanini.

Hata hivyo itakupaswa ujue unalima hops ya aina gani ili uendane na mahitaji ya soko la hapa.

Pia kulilima sio tabu, bali kiwanda cha kuisindika na kuifanya kutumika ktk bia.
 
Nashukuru kwa majibu. Naambiwa kwamba hali ya hewa ya hapa haifai kwa kilimo hicho. Breweries wanaagiza kutoka South Africa. Nasikia Kenya wanajaribu kulima.
 
Huo mmea kuulima unahitajika uwe na vibali pamoja na soko la uhakika nje na ndani
 
Back
Top Bottom