Natafuta wakodishaji kofia za Mahafali

Natafuta wakodishaji kofia za Mahafali

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
663
Reaction score
611
Habari zenu wakuu?
Kama kinavyoeleza kichwa cha habari.

Nahitaji kofia 20 za mahafali za kukodi kwaajili ya watoto wadogo wa Nursery. Kofia ziwe nyeusi na ziwe nzuri kama za watu wa chuo.

Mwenyenazo naomba tukutane pm kwa mjadala wa bei na tarehe yangu ninayohitaji.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom