Natafuta Waigizaji wa movies

Lhey

Lhey

Member
Joined
Jun 18, 2012
Messages
27
Points
20
Age
25
Lhey

Lhey

Member
Joined Jun 18, 2012
27 20
NIKIWA KAMA PRODUCER NA DIRECTOR WA MOVIES, NAPENDA KUTANGAZA KUWA NATAFUTA WAIGIZAJI WENYE UWEZO WA KUIGIZA AMBAO HAWAJATOKA KISANAA NA WANA NDOTO ZA KUTOKA, WAJIUNGE NAMI KATIKA KUFANIKISHA NDOTO ZAO PAMOJA NA NDOTO ZA KAMPUNY YANGU AMBAYO NI CHANGA SANA. VIGEZO NI JITIHADA BINAFSI PAMOJA NA KUWA AWE ANAISHI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA KAMPUNY YANGU KUTOWEZA KUMUDU WAIGIZAJI KUTOKA MBALI...
NAFASI ZOTE ZA UIGIZAJI BADO HAZIJAPATA WAHUSIKA
KWA MAWASILIANO ZAID, E-mail lheysaid@gmail.com
 
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
4,805
Points
2,000
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
4,805 2,000
Good luck ndgu yangu. Insha'Allah utatoka tu

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
A

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
1,456
Points
1,225
A

Akiri

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
1,456 1,225
Jaribu kutangaza kwenye magazeti pendwa aka udaku utawapata wengi sana,
 
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Messages
1,508
Points
2,000
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2011
1,508 2,000
Hongera ndugu nimeona tangazo lako jamii forums kwamba unatafuta wasanii.. mimi ni producer wa music na nishamfanyia kazi hadi alikiba na ninaweza sana kutengeneza sound track za movie na filamu pia kipaji cha kuigiza ninacho sana so nakusikiliza kaka...nitafute facebook kwa thomas den au 0764435828 tuyajenge maana hiyo email uliyotuwekea ni feki
 
P

Paterne

Member
Joined
May 27, 2012
Messages
85
Points
70
P

Paterne

Member
Joined May 27, 2012
85 70
Embu weka email nyingne coz hyo natuma inafeli
ntafute kwa 0718182032
 
KANCHI

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Messages
1,544
Points
1,225
KANCHI

KANCHI

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2011
1,544 1,225
NIKIWA KAMA PRODUCER NA DIRECTOR WA MOVIES, NAPENDA KUTANGAZA KUWA NATAFUTA WAIGIZAJI WENYE UWEZO WA KUIGIZA AMBAO HAWAJATOKA KISANAA NA WANA NDOTO ZA KUTOKA, WAJIUNGE NAMI KATIKA KUFANIKISHA NDOTO ZAO PAMOJA NA NDOTO ZA KAMPUNY YANGU AMBAYO NI CHANGA SANA. VIGEZO NI JITIHADA BINAFSI PAMOJA NA KUWA AWE ANAISHI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA KAMPUNY YANGU KUTOWEZA KUMUDU WAIGIZAJI KUTOKA MBALI...
NAFASI ZOTE ZA UIGIZAJI BADO HAZIJAPATA WAHUSIKA
KWA MAWASILIANO ZAID, E-mail lheysaid@gmail.com
Huyu muhuni 2 cdhani wana jf wenzangu.
 
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
4,166
Points
2,000
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
4,166 2,000
Tanzania kuna movie au yale maigizo ya 'siku ya kuagana na wapendwa wetu wa darasa la saba!'
Bora niendelee kuanalia kung-fu na karate za JWTZ uwanja wa taifa kila tarehe 9 Desemba,
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
17,374
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
17,374 2,000
Vinjari mitaa ya kinondoni na tembelea maisha club utawaona watu wengi wenye kariba hiyo
 
Brodre

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,123
Points
1,500
Brodre

Brodre

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,123 1,500
Shilikisho la filamu na Baraza la sanaa wameshakusajili? wapi ulisomea? unamtaji kiasi? gani sii movie zile za kuact siku moja tu na kukop toka westerners kama wafanyavyo bongo movies? usijelaza watanzania njaa..... just askin kama huafika vigezo hata usijaribu kumbuka siku hizi movie isipokua na staa hata moja haiuzi....
 
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Messages
2,630
Points
2,000
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2008
2,630 2,000
Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of Computer science. Ni mzima sana katika matatizo ya computer. Kifupi ni kwamba, sishindwi na tatizo lolote la computer. Kwa anayehitaji msaada wa kiufundi. Anitumie e-mail kwenye lheysaid@gmail.com sina gharama kubwa
Wewe si ndio ulisema ni producer unatafuta waigizaji?
NIKIWA KAMA PRODUCER NA DIRECTOR WA MOVIES, NAPENDA KUTANGAZA KUWA NATAFUTA WAIGIZAJI WENYE UWEZO WA KUIGIZA AMBAO HAWAJATOKA KISANAA NA WANA NDOTO ZA KUTOKA, WAJIUNGE NAMI KATIKA KUFANIKISHA NDOTO ZAO PAMOJA NA NDOTO ZA KAMPUNY YANGU AMBAYO NI CHANGA SANA. VIGEZO NI JITIHADA BINAFSI PAMOJA NA KUWA AWE ANAISHI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA KAMPUNY YANGU KUTOWEZA KUMUDU WAIGIZAJI KUTOKA MBALI...
NAFASI ZOTE ZA UIGIZAJI BADO HAZIJAPATA WAHUSIKA
KWA MAWASILIANO ZAID, E-mail lheysaid@gmail.com
Maliza kwanza hiyo Comp Science hapo IFM ndugu yangu.Ukimaliza vizuri utafanya mambo yako yote(ya ukweli na kitapeli) vizuri na kwa kujiamini(confident).

And what is KAMPUNY????? producers wetu lugha ni tatizo?
 
mama D

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
1,756
Points
1,225
mama D

mama D

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
1,756 1,225
Wewe si ndio ulisema ni producer unatafuta waigizaji?

Maliza kwanza hapo IFM ndugu yangu.Ukimaliza vizuri utafanya mambo yako yote(ya ukweli na kitapeli) vizuri na kwa kujiamini(confident).

JF nakupenda sana
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,733
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,733 2,000
Wewe si ndio ulisema ni producer unatafuta waigizaji?

Maliza kwanza hapo IFM ndugu yangu.Ukimaliza vizuri utafanya mambo yako yote(ya ukweli na kitapeli) vizuri na kwa kujiamini(confident).
mmmmmhhhhhhhh kumbe ndio hivo umetumia kigezo gani kufananisha ifm na kaole..
 
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Messages
2,630
Points
2,000
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2008
2,630 2,000
mmmmmhhhhhhhh kumbe ndio hivo umetumia kigezo gani kufananisha ifm na kaole..
Anasoma Computer Science IFM.

Mimi ni mwanafunzi wa ifm hapa Dsm. Ninachukua bachelor ya computer science.
Ninatafuta kazi ya part time ktk ofisi yoyote inayohitaji urekebishwaji wa computer. Either kwenye maduka ya computer, ufundi wa computer na ofisi yoyote ile. Sijali kuhusu mshahara. Wowote utanitosha ili mradi niwe busy. E-mail yangu ni lheysaid@gmail.com
facebook: Brown Said
Sasa tuelewe kipi, mtaalam wa masuala ya Computer au mwanafunzi wa computer science anayetafuta part time bila kujali mshahara au producers anayetafuta wasanii?
Sidhani kama mods kazi yao ni kudeal na wanaotumia lugha chafu tu.Hata matapeli pia wangeshughulukiwa!!!!!
 
Mjasiriamali M

Mjasiriamali M

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
146
Points
195
Mjasiriamali M

Mjasiriamali M

Senior Member
Joined Jan 15, 2013
146 195
Anasoma Computer Science IFM.Sasa tuelewe kipi, mtaalam wa masuala ya Computer au mwanafunzi wa computer science anayetafuta part time bila kujali mshahara au producers anayetafuta wasanii?
Sidhani kama mods kazi yao ni kudeal na wanaotumia lugha chafu tu.Hata matapeli pia wangeshughulukiwa!!!!!
Kwa mtazamo wangu naona inawezekana jamaa akawa mkweli kwani kuna uwezekana akawa na huo u producer huku akiwa mwanafunzi wa hiyo kozi yake ya Science ya Computer, Mambo mengine ni kipaji tu jamani. mimi nimewaona ma producer kama watatu hivi wa music, hawakusomea saana masuala ya muziki lakini ukisikiliza kazi zao utawakubali, isitoshe mmoja wao kaishia form 2. Pia nna jamaa wangu kasomea mambo ya Banking and Finance, na alikuwa na kazi nzuri CRDB, Lakini baada ya kufungua studio yake na kufanya kazi kama tano hivi aliamua kuacha hiyo kazi ya Bank na mpaka sasa anafanya utengenezaji wa hizo kazi za mziki. Kama kuna uwezekana ndugu mhusika fafanua umejipanga vipi katika kuhakikisha unafanikiwa wewe na ndugu zako Watanzania uliowalenga, kama una ukweli ndani ya maelezo yako na una nia nzuri basi Mungu yupo anakuona na atakusaidia. Kila la Kheri.
 
Msamiati

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Messages
1,075
Points
0
Msamiati

Msamiati

R I P
Joined Mar 6, 2011
1,075 0
Wadau hebu tembeleeni hapa
Home

japo kuwa webyao bado ipo under development lakini mimi nimewaielewa sana

About Fanani Network
History
For more than 1 year, Fanani has been the most trusted place for actors to find career advice and casting information.
Started in December 2011 by Titus Julius and Nehemia Daudi, Fanani quickly became required reading for every young actor who came to East Africa to cut their teeth. The newspaper's original blue-and-red logo became as synonymous with EA actors as a class at The Actors Studio.
Fanani, was launched in 2011, and Fananinetwork.Tk came to life in 2013.
Today, the Fanani brand signifies something greater than simply casting notices: Fanani is a place where actors, singers and dancers can connect with the greater performing arts community.
More importantly, Fanani is where performers can get all the information they need to succeed in the entertainment business. Actors browse through our weekly newspaper, checking updated production listings or reading our periodic spotlights on photography, college programs, acting schools and coaches. Or they check our many interactive online features, from news, reviews, and advice columns to a vibrant message board, weblogs, video, and much more.
And, of course, actors browse through our Cast shop.
Auditions
Fanani takes pride in having the most up-to-date technology, whether you are creating a multimedia resume or viewing casting notices. Upload your resume, post photos, upload a reel - all can be done with the touch of a button.
But none of that technology means anything without the job listings. And we have the best notices in the business.
Fanani publishes between 50 to 100 top audition notices each week for every type of performance: film, stage, TV, commercials, multimedia, dance, voiceovers, singing, and more. Included are opportunities for both adults and children. Plus, we offer ads seeking people in related fields, such as stage/film crews, models, musicians, and writers.
Besides performance hubs Nairobi and Dar es salaam, we publish notices for dozens of other cities across the East African countries. Simply search by City or Country and job type to see what's available in your area.
Note: You do NOT need to be a subscriber to search our listings. To view complete notices, however, requires a Fanani Network Online subscription.
Protecting Actors
Actors are, unfortunately, highly vulnerable to all kinds of sleazy operators and scam artists. Backstage takes particular pride in trying to prevent that.
We offer every actor our unique Backstage Casting Pledge: We check out all casting notices before we publish them.
We never simply publish a casting notice as submitted. We ask questions, check references, and refuse to publish calls that seem less than reputable. No other publication takes the steps we do to protect actors.
For instance, we ask production companies whether roles are paid or not; if roles require nudity; whether they are seeking union or nonunion actors (and if it's union, under which contract); and so forth. We refuse to publish casting calls for pornography, or for projects that ask for exorbitant fees or for the actor to purchase headshots or classes to participate. (If a modest fee is requested, we'll include exactly what's expected in the casting notice.)
You should never go into an audition wondering if the person behind that door will try to take your money - or worse.
If you find that a casting notice or ad in Fanani is actually a scam or deliberately misleading, please let Fanani know ASAP. Fanani takes complaints very seriously.
We want to empower actors by supplying the most complete information possible about a project, so you know exactly what to expect at an audition before you attend. Then, if you are told something completely different, Contact us immediately, and we'll investigate.
Fanani works hard every day to be an actor's most trusted daily resource. Join Us Today!
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,102
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,102 2,000
NIKIWA KAMA PRODUCER NA DIRECTOR WA MOVIES, NAPENDA KUTANGAZA KUWA NATAFUTA WAIGIZAJI WENYE UWEZO WA KUIGIZA AMBAO HAWAJATOKA KISANAA NA WANA NDOTO ZA KUTOKA, WAJIUNGE NAMI KATIKA KUFANIKISHA NDOTO ZAO PAMOJA NA NDOTO ZA KAMPUNY YANGU AMBAYO NI CHANGA SANA. VIGEZO NI JITIHADA BINAFSI PAMOJA NA KUWA AWE ANAISHI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA KAMPUNY YANGU KUTOWEZA KUMUDU WAIGIZAJI KUTOKA MBALI...
NAFASI ZOTE ZA UIGIZAJI BADO HAZIJAPATA WAHUSIKA
KWA MAWASILIANO ZAID, E-mail lheysaid@gmail.com
mtafute huyu mdada 0652735643
 
Forum statistics

Threads 1,283,676
Members 493,764
Posts 30,796,549
Top