aisee hili jukwaa linakoelekea,, neno pesa halikosi kwa sentensi
COMPUTER YANGU YA DELL 610, INA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi badala yake inaniambia warning batterry is critically low hit F1 to continue niki bofya F1 inanipa massage hii, the computer is docked and only battery power is detected. this can happen if the power adopter is missing, the power cord is unplugged, or the computer is not well docked to the docking station. you should undock, redock, attach a power adapter, or plug in the power cord. strike the f1 key to shutdown. nikiibofya hakuna mabadiliko. Nadhani utatuwekea maujuzi ya kusolve hili tatizo humu jamvini.Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of Computer science. Ni mzima sana katika matatizo ya computer. Kifupi ni kwamba, sishindwi na tatizo lolote la computer. Kwa anayehitaji msaada wa kiufundi. Anitumie e-mail kwenye lheysaid@gmail.com sina gharama kubwa
COMPUTER YANGU YA DELL 610, INA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi badala yake inaniambia warning batterry is critically low hit F1 to continue niki bofya F1 inanipa massage hii, the computer is docked and only battery power is detected. this can happen if the power adopter is missing, the power cord is unplugged, or the computer is not well docked to the docking station. you should undock, redock, attach a power adapter, or plug in the power cord. strike the f1 key to shutdown. nikiibofya hakuna mabadiliko. Nadhani utatuwekea maujuzi ya kusolve hili tatizo humu jamvini.
Hili tatizo hata mie limenitoa jasho maana nimeingia forums mbali mbali bila kupata ufumbuzi so nilichofanya ni kuigeuza spare ile pc ili kupunguza Hasara.
COMPUTER YANGU YA DELL 610, INA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi badala yake inaniambia warning batterry is critically low hit F1 to continue niki bofya F1 inanipa massage hii, the computer is docked and only battery power is detected. this can happen if the power adopter is missing, the power cord is unplugged, or the computer is not well docked to the docking station. you should undock, redock, attach a power adapter, or plug in the power cord. strike the f1 key to shutdown. nikiibofya hakuna mabadiliko. Nadhani utatuwekea maujuzi ya kusolve hili tatizo humu jamvini.
how i solved it : I downloaded the bios from intel site. Put it on flash drive. Changed the jumper setting of the motherboard to recovery and flashed my bios. And things went back to normal. However i consider it very risky , the computer will become unusable if bios flashing fails . Do it at your own risk
or
plug the charger in.
On start up keep tapping either f1, f2, f10,(be aware that some manufacturers use f10 for system recovery!) esc, or del, to enter the bios set-up. Look for "factory default" or similar, and return the settings to default. Save settings and exit.
Unplug, remove the battery and press the power button for 10 seconds.
Restart.
Go to dell support* and download/install the correct new bios version (flash the bios).
http://support.dell.com/support/download…
mkuu njia zote hizo nilizipitia kabla lakini hazikufaa kitu ndiyo maana nilipokosa solution nikaigeuza ile computer kuwa spare, sema nilitaka kujua ujuzi wa huyu mtaalam wetu bingwa wa pc but kasepa kiaina aisee
kuna setting za "dock" pale unapobofya f2 wakati wa kurestart. ukishaziona hizo setting unaweza kudock then mambo yakaenda fresh, jaribu kuitumia hiyo. sorry kwa kuchelewa kujibuCOMPUTER YANGU YA DELL 610, INA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi badala yake inaniambia warning batterry is critically low hit F1 to continue niki bofya F1 inanipa massage hii, the computer is docked and only battery power is detected. this can happen if the power adopter is missing, the power cord is unplugged, or the computer is not well docked to the docking station. you should undock, redock, attach a power adapter, or plug in the power cord. strike the f1 key to shutdown. nikiibofya hakuna mabadiliko. Nadhani utatuwekea maujuzi ya kusolve hili tatizo humu jamvini.
kuna setting za "dock" pale unapobofya f2 wakati wa kurestart. ukishaziona hizo setting unaweza kudock then mambo yakaenda fresh, jaribu kuitumia hiyo. sorry kwa kuchelewa kujibu