Habari wanajamvi,
Ninaitaji wahudmu wa kike kwa ajiri ya lodge(guest house-2 post) na bar-4 post ambazo zote zipo sehemu moja.
jengo lina vyumba ishirini na moja na lipo maeneo ya ubungo external.
Vigezo:
1. Umri kati ya miaka 18-25
2. Taaluma japo kidogo ya kuhudumu (certificate)
3. Kwa asie na certificate awe amemaliza kidato cha nne.
4. Uzoefu sio muhimu sana (kazi inafundishika)
5. Mchangamfu na mwenye mvuto.
NB:lodge inafanya kazi tayari na bar itafunguliwa pasaka.
kwa anaehitaji ani PM au anitumie msg alafu nitampigia,namba ni 0767 256146