Hii ni news nzuri sana,Shukurani kubwa kama utaweza kusaidia vijana wetu...Hongera SanaNatafuta wachezaji kutoka afrika hasa watanzania kuja kujaribu soka hapa.
Nitwangie sms +48697461457
Hii ni news nzuri sana,Shukurani kubwa kama utaweza kusaidia vijana wetu...Hongera Sana
Hio lugha ya kipolish na bongo wapi na wapi?
Web site----Polish
Simu-----Sweden....mhmhmhmh!!!!!!!!!
Mwanatanu hiyo namba ni ya Poland! Sweden huanza na +46...
Mkamap,
Mkuu wewe mkali nimekuvulia kofia. Kitu kimoja tu usije jaribu kuwa agent ukawafunga watu kamba. Kuwa na uhakika na kile unachosema kwani wapo wanaowatumia ndugu zetu kama watumwa Ulaya kuuza vinyago barabarani baada ya kuchukuliwa kama wachezaji.
Nakuomba tu wasiliana na Balozi wetu ili upate msaada zaidi.
Kuondoa maswali na shaka tafuta viongozi wa kabumbuTanzania ambao watakutafutia watanzania wanaofaa ambao hawawezi kuona hili Tangazo.Kusema upigiwe simu na kuandika barua pepe mwitikio unaweza kuwa hafifu kwa maana ya kwamba mtu halisi hujulikani,Na pia hilo la kwenda Ulaya unaweza kupata hata mabomu maana wengi wataona wameukata.
Mkamap,
Mkuu wewe mkali nimekuvulia kofia. Kitu kimoja tu usije jaribu kuwa agent ukawafunga watu kamba. Kuwa na uhakika na kile unachosema kwani wapo wanaowatumia ndugu zetu kama watumwa Ulaya kuuza vinyago barabarani baada ya kuchukuliwa kama wachezaji.
Nakuomba tu wasiliana na Balozi wetu ili upate msaada zaidi.
Hii itakuwa agency uchwara, kwanini if you really mean business msiwalipie watu nauli?Ninavyojua mimi serious agents wao ndio wanasafiri wenyewe nchi mbalimbali kufanya scouting au wanakuwa na representatives, mpaka mtu akubaiwe kupanda ndege anakuwa uwezo wake ushajulikana. Sitashangaa kama mtu atajikokota na kinauli chake halafu akifika huko kama hafikii kiwango mkatelekeza akaanza kulala mitaani na kula majalalani. If you are serious with this bro, tuwekee copy ya mkataba wako hapa tuupitie ili hao trialists wajue what to expect, usije ukawa umetumwa na watu wenye mashamba yao wanaotafuta cheap labour hapa.
Mkamap,
Kama alivyogusia KKN, pengine ingekuwa idea mzuri kama wewe na partner(s) wako mngefunga safari Bongo kwenda kuwasiliana ana kwa ana na vyombo (timu) vya soccer, pamoja na wachezaji.
Kuonyesha u-seriousness wa nia yenu, mngetakiwa muandae kitu kama seminars kwa wachezaji na wakufunzi wa soka bongo. Ni kwenye seminars hizo ndio mngepata nafasi ya ku-pitch ideas zenu. Naamini tactic hii ingesaidia ku-establish credibility na hence chance ya ku-recruit talented players.
Plus, kwa kufunga safari kwenda bongo, mnapata nafasi ya kuchagua wenyewe the really talented players na sio wababaishaji.
All in all NABII HAKUBALIKI KWAO nikijaza wanaigeria ,wakongo na wakenya lazima watanzania wazangu mnaohoji leo mtageuka nakusema watanzania tunabaniana.
.LoL.... Sasa si ndio utakuwa mchango wako wa kuinua soka la nyumbani. Wala usijali na maneno ya kukatishana tamaa mzee, binafsi naamini nia yako ni mzuri kabisa. Kwa sababu, unaweza kutengeneza hela mzuri tu kwa kuwakusanya Nigerians and Co, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba kwa kuwapa nafasi wachezaji wa Kibongo, sio tu utatengeneza hela, bali pia utajivunia wanapofanikiwa.
Ni kweli suala la seminars ni wajibu wa TFF. Lakini kwa sababu nia yako ni zaidi ya kutengeneza hela, haitaumiza kama ukienda extra miles katika kutoa mchango wa kuwainua wachezaji wetu. Kwa mtazamo wangu, pengine bado unaweza kushirikiana na TFF kufanya hizo seminars. In the end, unajua kuwa pindi wachezaji watapofanikiwa, na wewe utafanikiwa katika kila hali. Ni malengo ya muda mrefu tu.
Balali hakukosea watanzania wavivu wakufikiri.