natafuta wachapishaji wa mifuko ya plastic

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Husika na kichwa cha habari hapo juu, natafuta wachapishaji wa mifuko ya plastic kama ile ya mikate lenye lebo pamoja na description ya bidhaa. Tafadhali anaefahamu naomba anipe mwongozo.

0755815174
 
Inaprintiwa kuanzia 500kg 1kg ni 18000 for mor info nitafute mkuu
 
Inaprintiwa kuanzia 500kg 1kg ni 18000 for mor info nitafute mkuu

We hatari, kilo moja 18 000? mfuko wa cement ndo bei yake, sasa faida inatoka wapi? au ni tsh180 kwa mfuko labda umekosea
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu, natafuta wachapishaji wa mifuko ya plastic kama ile ya mikate lenye lebo pamoja na description ya bidhaa. Tafadhali anaefahamu naomba anipe mwongozo.

0755815174

Utatapeliwa wewe ina maana hupajui Omar Packaging(Bhakhresa)?kilo 5600/-+Vat wako jirani na pepsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom