Natafuta wa kuliwazana tu.

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Nina mke yupo masomoni ulaya kwasasa,kurudi kwake bado sana.nipo na afya njema na salama sana .naishi sinza peke yangu,nina miaka 45,mrefu,brown,kilo 105,mimi ni mnywaji pombe kwa starehe.nadhani siwezi kukaa bila mpenzi kwasababu napata shida .najiamini kwamba tutafanya vipimo na kutumia zana siku zote kwani sio kuoana.nahitaji mdada mwenye miaka kati ya 38-50,asiwe mwembamba,awe na kawowo mpaka liwowo,miguu mizuri,nywele napenda sana kwa ufupi awe na umbo la kibantu .elimu sio neno ila awe na kazi kidogo ,kama hana basi nitamtafutia.ukweli sio uwongo na ndio uwazi wenyewe ,hata mke wangu nitamjulisha anipatie ruhusa ,kwanini tudanganyane?
 
Mkuu una mambo weye, Eti kisa mkeo hayupo ndio unatafuta part time? Kweli zama za uwazi hizi.
 
Na Mkeo huko ulaya nimeona naye anatafuta bwana kwa kipindi hichi ambacho upo mbali naye, kumbe ngoma droo duh.
 
Kwenye umri umeua kaka hebu shusha chini kidogo basi tutupe ndoano bana...............:dance:
 
amri ya Mungu inasema USIZINI. PIA MCHUKULIANE MIZIGO KWA UPENDO SO VUMILIA JAMANI
 
Nina mke yupo masomoni ulaya kwasasa,kurudi kwake bado sana.nipo na afya njema na salama sana .naishi sinza peke yangu,nina miaka 45,mrefu,brown,kilo 105,mimi ni mnywaji pombe kwa starehe.nadhani siwezi kukaa bila mpenzi kwasababu napata shida .najiamini kwamba tutafanya vipimo na kutumia zana siku zote kwani sio kuoana.nahitaji mdada mwenye miaka kati ya 38-50,asiwe mwembamba,awe na kawowo mpaka liwowo,miguu mizuri,nywele napenda sana kwa ufupi awe na umbo la kibantu .elimu sio neno ila awe na kazi kidogo ,kama hana basi nitamtafutia.ukweli sio uwongo na ndio uwazi wenyewe ,hata mke wangu nitamjulisha anipatie ruhusa ,kwanini tudanganyane?

Mkaribishe shemeji yako. Mdogo wa Mke wako atakufaa
 
Brother, it looks like you want to practice an open marriage! Is it allowed in Tanzania?
 
Kama uko Sinza mbona simple?
Nenda kona bar a.k.a ambiance utawapata wenye sifa x2 ya hizo ulizozitaja.
 
Acha uzinzi wewe,Wala usidhani ni sifa kuleta upumbafu wako humu JF. Umri wako ni wa busara lakini weye ni mwanaume ovyooooooooooo.
 
Jamaniii msimlaumu ameamua kusema ukweli na ndivyo hivyooo so broooo take care brooo nd soon atajitokeza tuuuu
 
imeandikwa...
"27"Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini'. 28Lakini mimi nawaambia: kwamba ye yote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29Jicho lako la kuume likikufanya utende dhambi, ling'oe ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima utupwe jehanam."
 
Yes, wanadamu tumefika njia panda na kikombe cha uovu kimejaa Tanzania.Yaani unatangaza wazi kwamba unatafuta mwanamke wa kuzini naye wale huoni kwamba ni vibaya,aibu,na dhambi mbele za Mungu.Usipotubu itegemee hukumu ya kutisha mbele za Mungu.Nakushauri umgeukie Mungu,utubu ouvu wako huu na mwingine ulio nao ili Mungu akusamehe.
Nina mke yupo masomoni ulaya kwasasa,kurudi kwake bado sana.nipo na afya njema na salama sana .naishi sinza peke yangu,nina miaka 45,mrefu,brown,kilo 105,mimi ni mnywaji pombe kwa starehe.nadhani siwezi kukaa bila mpenzi kwasababu napata shida .najiamini kwamba tutafanya vipimo na kutumia zana siku zote kwani sio kuoana.nahitaji mdada mwenye miaka kati ya 38-50,asiwe mwembamba,awe na kawowo mpaka liwowo,miguu mizuri,nywele napenda sana kwa ufupi awe na umbo la kibantu .elimu sio neno ila awe na kazi kidogo ,kama hana basi nitamtafutia.ukweli sio uwongo na ndio uwazi wenyewe ,hata mke wangu nitamjulisha anipatie ruhusa ,kwanini tudanganyane?
 
kila mtu anaishi apendavyo, naamini jamaa ameshapata PM za kumwaga, kula kitu roho inataka mkuu
 
Acha uzinzi wewe,Wala usidhani ni sifa kuleta upumbafu wako humu JF. Umri wako ni wa busara lakini weye ni mwanaume ovyooooooooooo.
watu kujifanya watakatifu jamani ila nyuma ya pazia...mmh!Kila la heri mtafutaji. Jf ukisema ukweli jiandae kwa mashushu.
 
Nina mke yupo masomoni ulaya kwasasa,kurudi kwake bado sana.nipo na afya njema na salama sana .naishi sinza peke yangu,nina miaka 45,mrefu,brown,kilo 105,mimi ni mnywaji pombe kwa starehe.nadhani siwezi kukaa bila mpenzi kwasababu napata shida .najiamini kwamba tutafanya vipimo na kutumia zana siku zote kwani sio kuoana.nahitaji mdada mwenye miaka kati ya 38-50,asiwe mwembamba,awe na kawowo mpaka liwowo,miguu mizuri,nywele napenda sana kwa ufupi awe na umbo la kibantu .elimu sio neno ila awe na kazi kidogo ,kama hana basi nitamtafutia.ukweli sio uwongo na ndio uwazi wenyewe ,hata mke wangu nitamjulisha anipatie ruhusa ,kwanini tudanganyane?

'Hana akili kabisa aziniye na mwanamke'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom