Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
University Computing CentreKilefu cha UCC?
University Computing CentreKilefu cha UCC?
Ili nikushauri, naomba kujua hali yako ya kiuchumiHabari ndugu zangu...
naomba mnisaidie kujua vyuo vizuri vinavyotoa mafunzo ya IT, ICT au COMPUTER SCIENCE..Ngazi ya DIPLOMA ....na fees zao kama ikiwezekana..
Kwasababu nataka mwakani nikasomee kozi hiyo ngazi ya DIPLOMA
NITASHUKURU SANA KWA MAWAZO YENU...[emoji122][emoji122][emoji122]
Niangaklizie chuo chini ya milion 1 hapa DarIli nikushauri, naomba kujua hali yako ya kiuchumi
Maana mimi nimesoma certificate mpaka masters mambo ya computer
Achana na Ucc,kabisaaa nakuambia ivyo nina maana yangu, nenda kasome COMPUTER SCIENCE PALE UDSM (KIJITONYAMA CAMPUS) ADA YAO NI LAKI 9 KWA MWAKANiangaklizie chuo chini ya milion 1 hapa Dar
Usemayo ni Kweli huko nyuma NACTE walikua wapowapo tu sio kama sasa wanabanwa sana na wao wanavibana vyuo.Yah....Kuna mtu kasoma UCC namjua alikuwa na D tatu na mswaki wa hesabu
COICT,DIT,Arusha tech bila ya D ya hesabu hata hawakufikirii
Kwa uandishi wako mbovu hata siamini kama una Masters DegreeNakuambia ivyo kwa kuwa navijua vyote coz
~certificate nimesoma u cc (ICT)
~diploma nimesoma udsm (COMPUTER SCIENCE )
~degree nimesoma udom (SOFTWARE ENGINEERING )
~masters nimesoma dit (COMPUTER ENGINEERING )
Wewe ndiye unaye-certified wenye level za elimu???Kwa uandishi wako mbovu hata siamini kama una Masters Degree
Ona eti "Unaye Certified" unatia aibu na Master's degree yako, ptuuu...Wewe ndiye unaye-certified wenye level za elimu???
Vip uko wap now.....Nakuambia ivyo kwa kuwa navijua vyote coz
~certificate nimesoma u cc (ICT)
~diploma nimesoma udsm (COMPUTER SCIENCE )
~degree nimesoma udom (SOFTWARE ENGINEERING )
~masters nimesoma dit (COMPUTER ENGINEERING )
Dar Es Salaam Institute Of TechnologyMie naona mara nyng hawana msuli wa kukarrshana mambo zaid ya vitendo. Maana nlwah soma chuo kmoja jiar na CBE ya dar Adv cha mtt kwa ule mwendo.
Wakubwa wanatanielewa n kp
Kwahiyo mkuu unamshaurije jamaa?Kaka asikudanganye MTU bachelor of science degree bila pass ya mathematics haiwezekani its impossible diploma unaweza soma soma kwenye hivyo vyuo priva
te kama ucc coz wao wanataka pesa tuu ulipe ada but utashindwa kwenda degree kaka I mean bsc yoyote ile solve tatizo usikimbie tatizo