Hapo hatari, kwanza jiandae na module (masomo) 9 hadi 12 per semister yaani 18 hadi 24 kwa mwakaNasikia DIT...inabidi upige msuri wa maana vingnevyo unaachwa solemba
Nilitaka kukushauri uende kwa aliemzaa UCC yani COICT UDSM lakini kwa kuwa ulifeli math nenda tu kwa mtoto wa COICT yani UCCVp Math...wanaiangalia...maana hiyo math nilifail...ila PHYSICS ndo nilipass..Sasa sijui inakiwaje apo
Nenda SUA.Habari ndugu zangu...
naomba mnisaidie kujua vyuo vizuri vinavyotoa mafunzo ya IT, ICT au COMPUTER SCIENCE..Ngazi ya DIPLOMA ....na fees zao kama ikiwezekana..
Kwasababu nataka mwakani nikasomee kozi hiyo ngazi ya DIPLOMA
NITASHUKURU SANA KWA MAWAZO YENU...[emoji122][emoji122][emoji122]
Yah....Kuna mtu kasoma UCC namjua alikuwa na D tatu na mswaki wa hesabuOoh...Math sio lazma UCC?
Mlimani Cit au Posta Mpya?Only UCC wapo vzr
HawaangaliiVp Math...wanaiangalia...maana hiyo math nilifail...ila PHYSICS ndo nilipass..Sasa sijui inakiwaje apo