Natafuta VW Beetle Pimpers

Natafuta VW Beetle Pimpers

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,889
Reaction score
2,808
Wazee kuna mtu yoyote anaejua mahala ambapo wana pimp magari ya zamani kama hili hapa na ni kwa bei gani?
Naipenda sana nataka niipe sura mpya. Wengine bado kwetu old is more than gold.
Nisaidieni wadau. Za kale ndo zenyewe.

2Q==
 
...wakuu nimepofuka nini!!!!!!sioni kitu....
 
...wakuu nimepofuka nini!!!!!!sioni kitu....


Umenikumbusha jamaa mmoja alikua bingwa wa chabo,mpaka kufikia hatua ya kutembea na spoku ili aweze kubinua mapazia ya gesti!
Siku moja usiku wakati akiendelea na harakati za kuchungulia,akashtukiwa wakamtoboa macho..akabaki kusema ayaaa..umeme umekatika! Gizaaaa!
 
Back
Top Bottom