Great idea lakini lazima ufunguke zaidi, hasa zile 5 Ws. Pia tujue ni wewe pekee, una taasisi ai shirika na kama jibu ni yes, basi tujue goals, objectives ect. Nasema hivi kwa nia nzuri tuu maana hii dunia ya sasa ni ya kibabmash sana na tusije kuwa tunasaidia thesis za watu, au tujidadavue then mtu atumie kuandikia paper za kuombea funding ect !! Najua issue ya namna hii ambayo watu walikaa na kukwangua brains lkn huyu maza, tena mtu mzima akachukua nondos bila hata kuwaambia wadau, akazitumia ktk kuombea fweza sehemu na zilipokuja akaingia mitini, na ghafla vuu yy ni CEO na presidanta, na akaonekana yupo na yule mzee wa kucheka-cheka na kujiangusha