Natafuta Volunteers ili tuweze kumerge pamoja kwa ajili ya kusolve various social-economical problem

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
297
Habari yenu wanaJamii, Ninawazo lakukutana na watu ambao tutakubaliana nao kuweza kubrainstorm na kutafuta solutions ya matatizo mbalimbali ambayo yanaizunguka jamii yetu kwa ujumla. Nimetarget zaidi watu wanaotoka katika nyanja ya taaluma ya habari na mawasiliano (ICT). Kitakachofanyika baada ya watu hao kupatikana na kila mmoja kuridhia(kwa sababu hakuna mtu atakayekua anatulipa) tutaanza kupanga namna ya kukutana ili tuweze kuidentify baadhi ya problems ambazo tunaweza kutumia knowledge tuliyonayo kuprovide solutions. After that as a team kila mmoja anachangia kulingana na nyanja yake. Mfano solution ni kudevelop mobile app, kuna watu kwa ajili ya kufanya designing, mwenye kucode atacode, pia mtu kwa ajili ya documentation atafanya kazi yake nakadhalika nakadhalika. Vivo hivyo kwa solutions zozote zitakazokua zinapatikana.
Najua changamoto zitakua nyingi lakini kama nia tunayo tunaweza kufanikiwa. Napokea mawazo na michango yoyote kwa watu wenye uzoefu ili tuweze kuboresha wazo hili kwa pamoja. Kama upo tayari unaweza kuniPM ikiwa ni pamoja na mawasiliano yako ili tuweze kuwasiliana zaidi. Kwa kuanza na prefer zaidi watu waishio Dar es Salaam, ili iwe rahisi. Sehem za kukutana na kufanyia kazi jambo hili zipo, wengi wetu mtakua mmeshawai kusikia kuna sehem inaitwa KINU na nyingine ni pale COSTECH(TanzICT). Karibuni sana wadau, mawazo yenu yanahitajika sana.
 
Kama weli uko serious na unamaanisha unachokiongea nicheki la kama unataka kuwekea audible strategies off you go.
0753810857
organisation is there you came and work
Habari yenu wanaJamii, Ninawazo lakukutana na watu ambao tutakubaliana nao kuweza kubrainstorm na kutafuta solutions ya matatizo mbalimbali ambayo yanaizunguka jamii yetu kwa ujumla. Nimetarget zaidi watu wanaotoka katika nyanja ya taaluma ya habari na mawasiliano (ICT). Kitakachofanyika baada ya watu hao kupatikana na kila mmoja kuridhia(kwa sababu hakuna mtu atakayekua anatulipa) tutaanza kupanga namna ya kukutana ili tuweze kuidentify baadhi ya problems ambazo tunaweza kutumia knowledge tuliyonayo kuprovide solutions. After that as a team kila mmoja anachangia kulingana na nyanja yake. Mfano solution ni kudevelop mobile app, kuna watu kwa ajili ya kufanya designing, mwenye kucode atacode, pia mtu kwa ajili ya documentation atafanya kazi yake nakadhalika nakadhalika. Vivo hivyo kwa solutions zozote zitakazokua zinapatikana.
Najua changamoto zitakua nyingi lakini kama nia tunayo tunaweza kufanikiwa. Napokea mawazo na michango yoyote kwa watu wenye uzoefu ili tuweze kuboresha wazo hili kwa pamoja. Kama upo tayari unaweza kuniPM ikiwa ni pamoja na mawasiliano yako ili tuweze kuwasiliana zaidi. Kwa kuanza na prefer zaidi watu waishio Dar es Salaam, ili iwe rahisi. Sehem za kukutana na kufanyia kazi jambo hili zipo, wengi wetu mtakua mmeshawai kusikia kuna sehem inaitwa KINU na nyingine ni pale COSTECH(TanzICT). Karibuni sana wadau, mawazo yenu yanahitajika sana.
 
Great idea lakini lazima ufunguke zaidi, hasa zile 5 Ws. Pia tujue ni wewe pekee, una taasisi ai shirika na kama jibu ni yes, basi tujue goals, objectives ect. Nasema hivi kwa nia nzuri tuu maana hii dunia ya sasa ni ya kibabmash sana na tusije kuwa tunasaidia thesis za watu, au tujidadavue then mtu atumie kuandikia paper za kuombea funding ect !! Najua issue ya namna hii ambayo watu walikaa na kukwangua brains lkn huyu maza, tena mtu mzima akachukua nondos bila hata kuwaambia wadau, akazitumia ktk kuombea fweza sehemu na zilipokuja akaingia mitini, na ghafla vuu yy ni CEO na presidanta, na akaonekana yupo na yule mzee wa kucheka-cheka na kujiangusha :)
 
  • Thanks
Reactions: hbi

Mkuu asante sana kwa maoni yako, hili wazo liliniijia mimi kama mimi, sina taasisi wala shirika, kama nilivyosema ni kitu cha kujitolea ila nina uhakika kama tutakua serious tunaweza tukashauriana vizuri namna ya kuboresha... Ndio maana nikaamua kulileta huku ili tuweze kuwekana sawa.... Nipo tayari kupokea ushauri wako juu ya hili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom