Natafuta vitabu vya ushushushu auupelelezi

Bulichekah

Member
Jan 12, 2014
68
185
Habari wakuu wangu, salute kwenu.

Sina mengi ila naomba mwenye vitabu vinavyohusu upelelezi au ushushushu anipatie soft copy. Nimeona ni muhimu kuwa na ABC kuhusiana na hii sekta maana dunia inakuwa na kupanuka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko wa aina nyingi wewe unautaka upi wa kijeshi,kisiasa,kiuchumi,kijamii,kiteknolojia,kivita,kimtandao,kidini,kibiashara,kimapenzi,nk ni eneo pana mno unataka lipi? na kwa sababu zipi?
 
Back
Top Bottom