Natafuta vijana wa kazi waliosoma computer science na software developer

Vanlizerfx__

Senior Member
Jul 7, 2021
114
189
Habari wana jamiiforums

Kama mnakumbuka nilitoa thread nilikua nahitaji wafanyakazi kwa ajili ya kutengeneza system kama ya blockchain kwa ajili ya kufanya mining ya cryptocurrency hapa Tanzania

Tumefikia asilimia 40% ya system yetu sababu ya upungufu wa skilled na watu professional katika hizi system mwanzo nilitoa 350K kama mshahara kwa mwezi na sasa sabab ya wataalamu wengi kusema hela ni ndogo na kusababisha kutofikia lengo letu mapema sasa tunatoa 750K kwa mwezi

CV zenu zote mtatuma katika hii namba WhatsApp 0759952554 mwisho wa kutuma maombi ni 25/12/2021

PAMOJA TUNAWEZA
 
Mbona umerukia kwenye crypto mining wakati mwenye uzi wa awali ulikuwa unazungumzia crypto trading
 
Habari wana jamiiforums

Kama mnakumbuka nilitoa thread nilikua nahitaji wafanyakazi kwa ajili ya kutengeneza system kama ya blockchain kwa ajili ya kufanya mining ya cryptocurrency hapa Tanzania

Tumefikia asilimia 40% ya system yetu sababu ya upungufu wa skilled na watu professional katika hizi system mwanzo nilitoa 350K kama mshahara kwa mwezi na sasa sabab ya wataalamu wengi kusema hela ni ndogo na kusababisha kutofikia lengo letu mapema sasa tunatoa 750K kwa mwezi

CV zenu zote mtatuma katika hii namba WhatsApp 0759952554 mwisho wa kutuma maombi ni 25/9/2021

PAMOJA TUNAWEZA
Mkuu naomba nieleweshe sheria za bongo zinasemaje kuhusu mining na crypto kwa ujumla?

Maana kuna project nilitaka fanya sema nimekwama baada ya kuona tangazo la BoT kwamba crypto hairuhusiwi tanzania..

Naomba mwanga kiongozi!!
 
Nimeshapata mwanga tayari kutoka BOT na form za kujaza Ila tatizo ni moja tu bongo
 
Babu kuwa makini...
Watakumaindi huku bado watu ni wajinga bongo, utabambikiwa makosa ya kimtandao........
Tayari nimeshajipanga hata kwa maswala ya watakao dukua system yetu najua tu kuna watu hawapend kuona mtu afanya kitu cha tofauti hapa bongo
 
Back
Top Bottom