Natafuta vifaranga wa samaki sato. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta vifaranga wa samaki sato.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ROKY, Feb 20, 2012.

 1. ROKY

  ROKY Senior Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wana JF,
  Natafuta vifaranga wa samaki sato. Nataka kuanza ufugaji wa samaki aina ya sato.
  Naomba anayejua wapi nitapata aniarifu, pia anipe contacts za huku kunapopatikana vifaranga hao wa sato.

  Asanteni sana.
   
 2. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna thread ya hivi karibuni imeandikwa ufugaji wa samaki, jamaa katoa contact
   
Loading...