Kuna jamaa mmoja niliona tangazo anauza viwanja vyake alivyopima maeneo ya Kiegeya.Wana JF habari?? Nahitaji uwanja maeneo ya kihonda, kiegeya, mkundi au maeneo mengine yanayoendelea kwa morogoro. Buget yangu ni milion 3. Uwanja uwe na ukubwa usiopungua mita square 750. Nahitaji biashara na mmiliki wa uwanja, MA DALALI SIWAHITAJI. Mwenye uwanja anicheki kwa sms au kupiga au watsapp 0765-057495
Kingo Kuna maji!!! jamani acheni kudanganya watuKyegea mkundi kihonda unatafuta nini huko shida kubwa ya maji na umeme siku hizi tunakimbilia bigwa na Kingolwira, Kingolwira yupo mtu alikuwa anauza eneo lake karibu na star city niliambiwa milion 4 lina na kibanda kipya ni jirani yangu ila simfahamu wapo vijana wanaotulindia wanamfahamu....,,0783 656554 kwa kesho kuanzia saa 5 asbh kwani ni siku ya mapumziko
Morogoro nzima sasa hivi kuna shida ya maji. Sidhani kuna mitaa yenye uhakika na maji.Kyegea mkundi kihonda unatafuta nini huko shida kubwa ya maji na umeme siku hizi tunakimbilia bigwa na Kingolwira, Kingolwira yupo mtu alikuwa anauza eneo lake karibu na star city niliambiwa milion 4 lina na kibanda kipya ni jirani yangu ila simfahamu wapo vijana wanaotulindia wanamfahamu....,,0783 656554 kwa kesho kuanzia saa 5 asbh kwani ni siku ya mapumziko
nipe tu nijaribu huwezi jua akanielewa
Kyegea mkundi kihonda unatafuta nini huko shida kubwa ya maji na umeme siku hizi tunakimbilia bigwa na Kingolwira, Kingolwira yupo mtu alikuwa anauza eneo lake karibu na star city niliambiwa milion 4 lina na kibanda kipya ni jirani yangu ila simfahamu wapo vijana wanaotulindia wanamfahamu....,,0783 656554 kwa kesho kuanzia saa 5 asbh kwani ni siku ya mapumziko

namtumia namba bro angu ndo anauza huo uwanja atakupigiaWana JF habari?? Nahitaji uwanja maeneo ya kihonda, kiegeya, mkundi au maeneo mengine yanayoendelea kwa morogoro. Buget yangu ni milion 3. Uwanja uwe na ukubwa usiopungua mita square 750. Nahitaji biashara na mmiliki wa uwanja, MA DALALI SIWAHITAJI. Mwenye uwanja anicheki kwa sms au kupiga au watsapp 0765-057495