Ukisema used unamaanisha nini hasa? unataka scrapper, yaani haitembei kabisa, au utapenda linalotembea pia? Boat pia hua zinauzwa na injini au bila injini. Kuna rafiki yangu anauza boti yake, inatembea dola 6500, iko tanga. nk
Kiongozi mimi sitafuti Marine Boats. Hapana. Unajua vifaa vitumikavyo kwenye kwenye ujenzi kuna boards zinitwa marine boards, hizi hutumika kufungia kwa ajili ya kumwaga zege kwenye kuta na ring beams. Hizi ndizo ninazo tafuta mimi.