Nashukuru mkuu kwa kujali na kunipa wazo lako, asante sana.Zisogeze hapo igayaza (kyaka) pakia kwenye malori ya Kutoka Uganda kuja Dar
Wasalimie Bunazi, Kashasha Mgana, Omlushaka na KatoroNashukuru mkuu kwa kujali na kunipa wazo lako, asante sana.
wote jumla, ngome 30 hivi na mbuzi 10Ngombe hawana idadi na mbuzi pia hawana idadi?
nitafanya hivyo mkuuWasalimie Bunazi, Kashasha Mgana, Omlushaka na Katoro
Zisogeze hapo igayaza (kyaka) pakia kwenye malori ya Kutoka Uganda kuja Dar
Mkuu sijafatilia hilo, mimi nimejikita kwenye Ankole tu nanunua na kuwanenepesha hukuhuku..ndio nimeanza 3 months agoUshauri mzuri huu!! Vipi Ngombe wenye asılı ya maziwa huko tsh ngapi mtamba