Umekula ulanga chakula... Kama bwimbwi... Mweupe kuna sukari ndani yake...Kuna kitu nmewahi kula Kilwa unaitwa Ulanga ni ungaunga flani hivi ndo huo?
Huo huo nilikulaga mzuri kweliUmekula ulanga chakula... Kama bwimbwi... Mweupe kuna sukari ndani yake...
Ila huyo ana zungumzia madini ya ulanga, yana patikana sanaaaaaa Morogoro, na yana uzwa kwa tani kama sikosei, kuna aina zake pia
yes mkuu. hayo ndio natafuta. morogoro sehem gani naweza pataUmekula ulanga chakula... Kama bwimbwi... Mweupe kuna sukari ndani yake...
Ila huyo ana zungumzia madini ya ulanga, yana patikana sanaaaaaa Morogoro, na yana uzwa kwa tani kama sikosei, kuna aina zake pia
ulanga si ni mawe fulani yanang'aa utadhani dhahabu?kama ni hayo nenda kilosa yapo mengiSalama wana JF. Ulanga mweupe/mweusi au kwa jina la kitaalamu unaitwa muscovite unapatika kwa wingi wapi hapa Tz. mwenye info anipe pls
ndio mkuu. kama dhahabu hiviulanga si ni mawe fulani yanang'aa utadhani dhahabu?kama ni hayo nenda kilosa yapo mengi
Salama wana JF. Ulanga mweupe/mweusi au kwa jina la kitaalamu unaitwa muscovite unapatika kwa wingi wapi hapa Tz. mwenye info anipe pls
ukiwa tayari nicheki pm tuwasiliane nikutumie sample ukiona iko vizuri tuanze biasharaSalama wana JF. Ulanga mweupe/mweusi au kwa jina la kitaalamu unaitwa muscovite unapatika kwa wingi wapi hapa Tz. mwenye info anipe pls
Mweupe utaupata Morogoro, Mweusi utaupata Dodoma na Tanga, kazi kwakoSalama wana JF. Ulanga mweupe/mweusi au kwa jina la kitaalamu unaitwa muscovite unapatika kwa wingi wapi hapa Tz. mwenye info anipe pls
upo wapi mkuuNimechukua sample kama kilo 1 hivi, iwapo ukiwa tayari kugharimia nauli ya kukutumia kwenye bus naweza kukutumia sample bure gharama ya kusafirisha parcel utawalipa hukohuko wakati unapoenda kuchukua
kwa hapa Dar naweza wapata wapi hawa?Ofisi za kanda madini wanaweza kuwa wa msaada "ukisemezana nao vizuri" maana wao huwa na ripoti za tafiti , list ya wachimbaji waliosajiliwa, list ya locations yanapopatikana madini mbalimbali, licenced coordinates, etc
upo wapi mkuu
Nipo Morogoro Kilosa Mkuu
Nenda MIKESE Relini,Nipo Kilosa Morogoro Mkuu
Geological formation ya mica (ulanga) siyo peculiar kwa maeneo machache , yapo maeneo mengi sana hususani morogoro karibia asilimia kubwa kwenye higher levels.....Na tufahamu kuwa ulanga umegawanyika katika makundi makuu matatu kutokana na , trace elements na geological transformations ....ulanga si ni mawe fulani yanang'aa utadhani dhahabu?kama ni hayo nenda kilosa yapo mengi