Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
atakua kalala atatujibu akiamkaHarusi ni tar ngapi, bajeti ni kiasi gani?
Ukiweka wazi hizo kitu inakuwa ni rahisi wadau kukupa majibu sawia.
BTW ni wewe unayeolewa?
Harusi ni tar ngapi, bajeti ni kiasi gani?
Ukiweka wazi hizo kitu inakuwa ni rahisi wadau kukupa majibu sawia.
BTW ni wewe unayeolewa?
Mwenzio kataka kujua kumbi , wewe ungemtajia unazozijua lakin wewe wataka kujua bajeti ya harusi sijui tarehe ya harusi vya nn kwako? We mtajie kumbi vingine atapambana mwenyewe
Harusi ni tar ngapi, bajeti ni kiasi gani?
Ukiweka wazi hizo kitu inakuwa ni rahisi wadau kukupa majibu sawia.
BTW ni wewe unayeolewa?
Asante mkuu, tulishapimaDIAMOND JUBILEE UKUMBI FULL AC ZOTE MKUBWA NA MDOGO...NA PARKING WITH SECURITY ….MAGARI LUKUKI UPANHA EASY REACHABLE
ENJOY YOUR WEDDING KUMBUKENI KUPIMA KWANZA....AFYA ZENU
Samahani mkuu nilikuwa nimelala, ndiyo pamekucha huku nitakuwa Tanzania tar 10 FebruaryHarusi ni tar ngapi, bajeti ni kiasi gani?
Ukiweka wazi hizo kitu inakuwa ni rahisi wadau kukupa majibu sawia.
BTW ni wewe unayeolewa?
bajeti ndo itakupa hali halisi ya aina ya ukumbi
Okay, Asante sanaKwa tar hiyo na bajeti una options nyingi sana, angalia michango ya wadau then ukirudi fanya visits ya kumbi tajwa kama 5 - 10, hapo utapata kitu sahihi.
Swala la vinywaji, mapambo na vyakula mara nyingi huwa ni hapo hapo. Na ni vizuri ikiwa hapo hapo inaepusha vitu vingi sana.