Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Sijakuelewa kakaNtafuta # ndio nn.... We ni ME au KE...?
Nashukuru kaka nitaenda kupacheki piaMsimbazi center pia ni pazuri, usalama ni mkubwa pia parking ni kubwa.wana kumbi kadhaa nadhani kuanzia watu 200 kuendelea.
Ubarikiwe mkuuLamada Htl. Wako na kumb za Watu 200 hadi 300. Indoor.
Bado tunaoa kaka...kuna katazo lolote kwani?Dah... Kumbe kuna watu bado wanaoa?[emoji15]
Shukrani kaka,kesho nitaanzia haponenda kanisa la roman katoliki manzese big brother wana kumbi 2 nzuri na bei nafuu
Cardinal Rugambwa Social Hall St. Peters OysterbayMsaada wenu wanajamvi;Naomba kujua ukumbi mzuri kwa ajili ya harusi wa watu si zaidi ya 200 hapa Dar.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Labda niweke na budget ili iwe rahisi zaidi, budget yangu isizidi 1 million wakuu.
Asante mkuuKanisa la Roma Mbezi mwisho, ama pale pale mbezi pale polisi ya zamani uliza kwa Rama muuza kahawa kuna kibao cha ukumbi, uko mita 150 kutoka barabara ya morogoro.
Bei yake milion 3 tu na mapambo mil3.5Cardinal Rugambwa Social Hall St. Peters Oysterbay