kichakorojack
Member
- Sep 19, 2011
- 78
- 12
Habari zenu wakuu. Naomba mtu anyeweza kunielekeza sehemu wanapouza trays za mayai kwa bei nafuu. Nahitaji zile za makaratasi zinazokaa mayai 30 pamoja na zile za plastic zinazokaa mayai 6 mpaka 4.
Mwenye nazo au anayejua mahali zinapopatikana naomba ani pm.
Asanteni.
Mwenye nazo au anayejua mahali zinapopatikana naomba ani pm.
Asanteni.