Natafuta tractor la kununua

Natafuta tractor la kununua

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    16.5 KB · Views: 77
  • image.jpg
    image.jpg
    21.6 KB · Views: 80
  • image.jpg
    image.jpg
    14.9 KB · Views: 75
  • image.jpg
    image.jpg
    19.8 KB · Views: 78
  • image.jpg
    image.jpg
    20.3 KB · Views: 74
Enzi hizo nilikuwa nahitaji 4x4 hp75-90

Nikapata yale ya SumaJkt TT75.

Hayo ulioonesha ni 2WD, kwenye tope la mpunga hayafai.

Hata hivyo saizi nitakayohitaji kwa sasa ni hp kuanzia 110-150 with offset harrow 24-32 discs.
1470757210512.jpg
1470757245978.jpg
 
Back
Top Bottom