Natafuta tractor la kununua

Natafuta tractor la kununua

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Nahitaji second hand tractor la kununua ambalo halija lima hapa Tanzania, make ni Fm 240 au ford 3500.lisiwe Turbo power.Kama litakuwa NA Majembe yake bora zaidi (jembe la kawaida na la tuta)
 
Kama utapata mtazamo wa kupata tractor mpya, india made Mahindra.
Kuanzia 15HP, 45HP, 60HP, 70HP and 80HP.
Ploughs na Power tillers pia zipo.
Tupo Kibaigwa Dodoma.
Tupigie kwa 0685199512
 
Hiyo ford ipo mkuu ila hiyo fm sijakuelewa ila nafahamu ni Mf yani Massey Ferguson pia hizo nazo zipo
 
Nahitaji second hand tractor la kununua ambalo halija Lima hapa Tz.make ni Fm 240 au ford 3500.lisiwe Turbo power.kama litakuwa NA Majembe yake bora zaidi (jembe la kawaida na la tuta)

Ukitaka trella nitafute tunalo na liko morogoro, turiani bei 4mln,# yangu sim 0715591141
 
Nahitaji second hand tractor la kununua ambalo halija Lima hapa Tz.make ni Fm 240 au ford 3500.lisiwe Turbo power.kama litakuwa NA Majembe yake bora zaidi (jembe la kawaida na la tuta)
Hizi ziko bei 28mln
 

Attachments

  • 20150419_073455.jpg
    20150419_073455.jpg
    547.6 KB · Views: 376
  • 20150419_073412.jpg
    20150419_073412.jpg
    403 KB · Views: 336
  • 20150419_073407.jpg
    20150419_073407.jpg
    640.3 KB · Views: 354
Hiyo ford ipo mkuu ila hiyo fm sijakuelewa ila nafahamu ni Mf yani Massey Ferguson pia hizo nazo zipo

Sorry MF ,bei zikoje?naomba ni pm.thanks.
 
Ninalo, ukifika bei nitakuuzia.
Newholland TT75 DT
4WD
Limefanya kazi misumu mitatu (2400hrs)
Reg # CAU

Bei 30m.

Pia kuna offset harrow ( inayotembea kwa matairi) Ya ururuki, used, bei 15m

Pia Disc Plough, 3dics, ya uturuki, used bei 4m.

Pls Pm.
 
Mkuu waweza wasiliana na company inayoshughulika na uuzwaji wa tractors na plough mapya na used .
Tel 255 27 254 8587 au 254 4337 wapo arusha pia ni wauzaji wa spare parts, valtra valmet
 
Kuna tractor nne zinauzwa; 1.New holland 80, vatra kubwa,mantrack, na nyingine moja nimesahau jina lake ila nayo ni kubwa.Hizo tractor zilikua zinafanya kazi ya barabara.kama uko interested nicheki kwa 0762144142
 
New holland wanauza mil.33, valtra mil.25,man track mil.14 na hiyo ya mwisho mil.26.ukiziona ni kama mpya.
 
Mkubwa yapo hayo unayoyataka na unaletewa mpaka hapo gharama zako ww ni manunuzi, ushuru na kulitoa tu. Bill of Ladding zote unatumiwa before arrival. Delivery ndani ya wiki sita kutoka UK. Kama upo interested ni PM.
 
Ipo New Holland Td80d Na Jembe Lake Mil60 Mpya Lipo Arusha, Ukitaka Mf Ipo Kiteto Matui Kuanzia Mil10 Nakuendelea
 
Hii hapa
 

Attachments

  • 1431931932651.jpg
    1431931932651.jpg
    55.8 KB · Views: 336
  • 1431931986140.jpg
    1431931986140.jpg
    48.6 KB · Views: 300
Back
Top Bottom