Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs.
Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs.
Bila shaka utapata, kuna dalali hapa JF anaitwa Mhe. Kitomai, huwa ni muuzaji maarufu wa magari online, hasa JF.
Sasa hivi anakuja!
All the best!