Mkuu hyo simu haipo DunianSorry ni galaxy j8
Seriously!?Mkuu hyo simu haipo Dunian
KunaSeriously!?
Kama kuna mambo ujui sio lazima ujibu tulia wanaofaham wajibu ...hahhaKuna
J1,J1ace
J2,J2 Prime
J3,J3 prime
J5, j5 2016
J7, J7 2016,J7 prime J7 2017.
Hyo j8 itakua chines Brand
Sawa mkuu. Lakn me nnajua ndio maana nmeandika j series zoteKama kuna mambo ujui sio lazima ujibu tulia wanaofaham wajibu ...hahha
Kuto kujua kitu haimaanishi hakipoKuna
J1,J1ace
J2,J2 Prime
J3,J3 prime
J5, j5 2016
J7, J7 2016,J7 prime J7 2017.
Hyo j8 itakua chines Brand
Ongea na reference mkuu. Tuma picha ya hyo simuKuto kujua kitu haimaanishi hakipo
Display og ni bora ukaongeza hela ununue simu mpyaDaa kwahiyo siweza pata display yake?