NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,859
- 5,145
Nimependa hii mada kweli JF nzuri sana ni hivi mke wangu alikuwa na depression mwaka 1996 akaenda kwa Dr akapewa vidonge vya amptryline hata hivyo akapewa ushauri na mtu atumie water therapy anakunywa lita moja ya maji vuguvugu kabla hajalala.Kwa sasa ni mzima.Nikaja kugundua kumbe depression yake ilikuwa ni wivu wa mapenzi kuogopa ukimwi kumbe mimi siko huko sasa tumekuwa wazee amepona sometimes depressions zingine tunazitengeneza sisi wenywe kifamilia tukae pamoja tuwekane sawa dawa ni sisi wenyewe.Ila ukweli maji vuguvugu yanasaidia mishipa ya damu inapanuka ukiwa umelala na nashauri ukilala usivae nguo zinazobana damu ipite freely we are happy nowjaribu kutumia maji mengi kunywa, mazoezi, upate mda wa kumpuzika na kufanya kile kitu ambacho unakipenda sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa mkuu depression ni mbaya sana tena inasababisha hata usioge wala kubadili nguo.Changing lifestyle is a good start to healing from depression.
But change is hard to most people.
You may advice someone suffering from depression to eat better but they will only eat better for few days or weeks and forget it take months of commitment to heal.
But its not for me to blame anyone. I know its hard to heal from depression. Some people spend years with no hope and decide to commit suicide.
My advice is when you are depressed find someone you trust to talk to. You may find them online or in person. Never ever try hide anything it may kill you.
Alitumia maji ya vuguvugu kwa mda ganiNimependa hii mada kweli JF nzuri sana ni hivi mke wangu alikuwa na depression mwaka 1996 akaenda kwa Dr akapewa vidonge vya amptryline hata hivyo akapewa ushauri na mtu atumie water therapy anakunywa lita moja ya maji vuguvugu kabla hajalala.Kwa sasa ni mzima.Nikaja kugundua kumbe depression yake ilikuwa ni wivu wa mapenzi kuogopa ukimwi kumbe mimi siko huko sasa tumekuwa wazee amepona sometimes depressions zingine tunazitengeneza sisi wenywe kifamilia tukae pamoja tuwekane sawa dawa ni sisi wenyewe.Ila ukweli maji vuguvugu yanasaidia mishipa ya damu inapanuka ukiwa umelala na nashauri ukilala usivae nguo zinazobana damu ipite freely we are happy now
Kipi sasa mkuu kilimsaidia kupona kabisa nasisi wengne utusaidie tuponeDalili alikuwabmgomvi, mkali, hapati usingizi usiku kucha.
Wakati mwingine anaongea mambo yasiyo kweli kabisa au anaonekana confused.
Unaweza fikiria ni tabia ,no, ni dalili tu.
Muone daktari.
Kaka ulitumia tiba gani hasa tusaidiane hiyo tiba nami nina tatizo hilo kwa miaka10 sasaNILIWAHI KUUGUA MAJOR/CLINICAL DEPRESSION KWA MIAKA 8 HADI NIKAWA NAFANYA THERAPY KILA WIKI HOSPITALI BINAFSI. NIKAJA TENA KUUGUA OCD...OBESESSIVE COMPULSORY DISORDER...NI UGONJWA AMBAPO AKILI INAFIKIRIA NON-STOP. VYOTE NIMEPONA NA SIO KWA MSAADA WA MADAWA YA HOSPITALI JAPO YALINISAIDIA KIASI.
NITAFUTE NIKUSAIDIE.
Kwa mwaka mmoja ina maana 1996-1997 na hata sasa anaendelea.Ila kuna jamaa kashauri relaxation na kuto ku entertain mawazo yasiyo na maana infact depression sio ugonjwa wa akili binadamu tunajitengenezea wenyeweAlitumia maji ya vuguvugu kwa mda gani
Mkuu kwaiyo kama mim unanishaurije maana mim yng depression imetokana nawoga wasiwasi hofu yakushindwa kufanya au kuliendea tendo la ndoa hivo kupelekea uume unasimama nkitaka kuanza kufanya unalala nakua nahofu hata sku nyinge nkitaka nawaza italala ntaweza bas nashindwa ila nshakwenda hospital kubwa kubwa zote washanambia sina tatizo lolote sjui presha sukari hormones ngiri moyo yaan sina ila ...ila nliambiwa ninatatizo lakuwa namawazo woga juu je utamudu yaan kutojiamini kuwa unaweza..Kwa mwaka mmoja ina maana 1996-1997 na hata sasa anaendelea.Ila kuna jamaa kashauri relaxation na kuto ku entertain mawazo yasiyo na maana infact depression sio ugonjwa wa akili binadamu tunajitengenezea wenyewe
Hiyo relaxation inakuajeKwa mwaka mmoja ina maana 1996-1997 na hata sasa anaendelea.Ila kuna jamaa kashauri relaxation na kuto ku entertain mawazo yasiyo na maana infact depression sio ugonjwa wa akili binadamu tunajitengenezea wenyewe
Mkuu kupona kabisa kwa upande wagu imekuwa changamoto.Kipi sasa mkuu kilimsaidia kupona kabisa nasisi wengne utusaidie tupone
NILIWAHI KUUGUA MAJOR/CLINICAL DEPRESSION KWA MIAKA 8 HADI NIKAWA NAFANYA THERAPY KILA WIKI HOSPITALI BINAFSI. NIKAJA TENA KUUGUA OCD...OBESESSIVE COMPULSORY DISORDER...NI UGONJWA AMBAPO AKILI INAFIKIRIA NON-STOP. VYOTE NIMEPONA NA SIO KWA MSAADA WA MADAWA YA HOSPITALI JAPO YALINISAIDIA KIASI.
NITAFUTE NIKUSAIDIE.
Ni process ya kubadili Mentality...kukusaidia ni hadi kukaa na wewe niku examine, counter-examine na kukusoma psychology na kukufanyia counselling kwa angle zote: dini, jamii, maisha yako etc. So sio ishu ndogo ya kuandika hapa na by the way siwez kupata huo mudaUlitumia nini mkuu tusaidie na sisi
I can help you.Mkuu kwaiyo kama mim unanishaurije maana mim yng depression imetokana nawoga wasiwasi hofu yakushindwa kufanya au kuliendea tendo la ndoa hivo kupelekea uume unasimama nkitaka kuanza kufanya unalala nakua nahofu hata sku nyinge nkitaka nawaza italala ntaweza bas nashindwa ila nshakwenda hospital kubwa kubwa zote washanambia sina tatizo lolote sjui presha sukari hormones ngiri moyo yaan sina ila ...ila nliambiwa ninatatizo lakuwa namawazo woga juu je utamudu yaan kutojiamini kuwa unaweza..
This one toodownload this, ni tiba
Jaribu kutumia app yangu ya meditationKwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
meditation ni ushetani mkuu, shidwa kwa JIna la Yesu.Jaribu kutumia app yangu ya meditation
BeSTOIC - Apps on Google Play
Develop Calmness, Wisdom, Mindfulness, Focus and Perseveranceplay.google.com
Pole sanameditation ni ushetani mkuu, shidwa kwa JIna la Yesu.
Cognitive behavioural therapy NDO nini Mkuu??Kwa major depression ni anti depressants tu.
Zipo nyingi sana na zengine zinafanya kazi kwa mtu mmoja ila sio kwa mwengine na pia zina side effects nyingi so hakikisha unapata dactari mzuri.
Kama anajiweza kidogo angalia kitu kinaitwa cognitive behavioral therapy, hii ni therapy ya kubalidisha mtazamo wako ni one of the most effective depression treatments, kuna vitabu unaweza kudownload au kununua ambavyo ni kama workbook unafanya mwenyewe au upate actual therapist.