Mkuu mi nilitumia Amitriptyline. I was warned though kwamba ni addictive na naweza pata withdrawal symptoms wakati wa kuacha. Ila I'm glad earlier this year nimeacha kabisa kutumia both the anti depressants na sleeping pills without any effect.
Yes, Amitriptyline na Valium. Nadhani almost a year japo nilianza kutumia valium kabla, na baadae ndo nikaanza kutumia zote pamojaSo ulitumia amitriptyline peke yake? kwa muda gani?
Yes unaweza sema ivo. Maana situmii any sort of pills kunisaidia ku get through the day.Ok kwa sasa umepona kabisa?
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
Ukifuatilia utupe nasisi kulikoni twende tukatibiweOk thanx mkuu, ntafuatilia ila siwezi pata namba ya simu ya huyo doctor?
Dalili zake kwa mkeo kuhusu huo ugonjwa zilikua zipiPole sana , lakini ukiugundua ugonjwa huu ni chanzo cha tiba.
Usipoufahamu familia nzima inaweza kuteseka kwa tabia za mgonjwa.
Mke wangu almanusura tuachane kutokana na vitimbi alivyokuwa akionyesha.
Ni bahati tu tulishauriwa kumwona daktari psychiatrist, pamoja na mke wangu kukataa katakata lakini baadaye alikubali.
Baada ya matibabu ali improve sana.
Depression ni aina ya ugonjwa wa akili, ambao daktari alinijuza kuwa ni watu wengi tu wanaugua, ila hawajijui.
Dawa alizopewa mke wangu ni Oleanz, dosage ambayo anakupa daktari, pamoja na vidonge vya Benzhexol.
Dawa hizi zina side effects hivyo ni muhimu kuonana na daktari
Ni ugonjwa unaotesa sana.
Ilikuaje huo ugonjwa dalili zakeI have been depressed and its something i would never wish on anyone.i couldn't sleep, i couldn't pray, i had suicidal thoughts ni balaa. Nilikua nachukia mornings coz of the length of hours that i have to deal with people. Ikifika usiku nayo ndo kero zaidi maana i couldn't sleep naweza ingia kitandani sa mbili ila mpaka sa tisa nipo macho. For me nilitumia anti depressants za kawaida na sleeeping pills kunisaidia kulala. Ila ki ukweli nahisi ni Mungu tuu kanisaidia kutoka huko nilipo kua.
As for you mkuu Cataliyya ungejaribu kuonana na wataalam (psychiatrist) wangekusaidia zaidi
Changing lifestyle is a good start to healing from depression.Mkuu Mwelewa nakubaliana na ww.
A thing about depression ni kwamba huwezi ku depend on pills alone to work. Mabadaliko madogo madogo in lifestyle na daily routine ni namna moja wapo inayoweza kukusaidia kuondokana na hili tatizo kabisa.
Vitu kama kufanya furaha yako isiwe dependant on people or material things, Financial freedom nakadhalika.
Nitafute nipate kukutibia upate kuponaAsante mkuu navyofahamu mimi tatizo langu ni kwamba dopamine ni kubwa kuliko serotonin thus why akili inakua inaenda mbio, so i need to boost serotonin so i need serotonin boosters, nkitumia SSRI (Serotonin selective reuptake inhibitors) hua napata nafuu sana, ila nkiacha kutumia kwa miezi kadhaa hali inarudi
Dalili alikuwabmgomvi, mkali, hapati usingizi usiku kucha.Dalili zake kwa mkeo kuhusu huo ugonjwa zilikua zipi
Omg miaka 8 pole sana nduguNILIWAHI KUUGUA MAJOR/CLINICAL DEPRESSION KWA MIAKA 8 HADI NIKAWA NAFANYA THERAPY KILA WIKI HOSPITALI BINAFSI. NIKAJA TENA KUUGUA OCD...OBESESSIVE COMPULSORY DISORDER...NI UGONJWA AMBAPO AKILI INAFIKIRIA NON-STOP. VYOTE NIMEPONA NA SIO KWA MSAADA WA MADAWA YA HOSPITALI JAPO YALINISAIDIA KIASI.
NITAFUTE NIKUSAIDIE.
Ukihitaji dawa za AsiliHizo dawa za asili zinaitwaje mkuu? na ntazipata wapi?