Pale Segera baada ya Oil Com kuna njia ya kwenda Segera Seminary mbele kidogo kulia kuna dr.wa magonjwa ya akili ,anatibu hilo Tatizo so fika pale atakusaidia.hizi hosp za serikali kama utaweza fika muhimbili pia watakutibu...dawa zake zipo za aina nyingi zikiwemo amtriprine au Prozac!Depression inatibika kama utawai tiba na pia kama mgonjwa ataeleza historia yake vyema kwa Dr.
Marijuana is not vry good for you for time being,because kush is just stimulant,so inaweza ikakupa stimu za depression zaidi au ukawa ok...ila jaribu ukiona imekupa nafuu just do it but dont be dependant
Depression mara nyingi inatokana na wasi wasi wa itakuwaje..?
Nahiyo ni kwasababu tu watu wengi hawajui maana ya maisha!
Lakini pia watu wengi wanaishi kwa kujilinganisha na watu wengine (ushindani)...
If you want to be happy,kwanza kubali kua free mind na pia fanya yale unayoona yanakupa furaha wewe.
Ukifanya hivo depression utakua unazisoma kwenye mitandao kama hivi..
Clinic inaitwa GODAPET.simu yao sinaOk thanx mkuu, ntafuatilia ila siwezi pata namba ya simu ya huyo doctor?
ndo nmekwambia...tafuta dume akukunje cku 3 mfululizo....ajue mahaba lknAre u serious au?
unawaza nini dear? why upo kwenye hiyo situation?Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
kweli akipata mwanaume mwenye mapenzi ya dhati apigwe miti daily yaani anapona kabisa .ila jamaa akimzingua anapata kichaa moja kwa mojatiba kwa ww wa kike ni kupata muhogo wa jang'ombe, haha mbona dipression utaiskia kwa jirani tu..!
First all change living location..kama unaishi dar hamia mbeya,ili ubadili hali ya hewa na aina ya watu..then make new friends with free minds...kama ulikua umeajiliwa achana na ajira kama utaweza fanya mambo mengine,mana ajira nazo zinazingua watu siku hizi..Ni kweli kabisa mkuu unayosema na je kwa sisi ambao teyari tumeathirika tujitibuje? ilhali tumeshajifunza jinsi ya kuishi bila stress
Kush siyo addictive but inatoa full relux of mental and body,so mtumiaji kila akikumbuka ile relux anakua anataka kutumia zaidi! Usitumie mpaka upate maelekezo ya wataalamu zaidi.
Kazi kubwa ya kush ni kuongeza oxygen kwenye obongo,so ndomana unapata relux
achana na madawa dear .maisha tu tune mind yako kwenye furahaThanx mkuu
First all change living location..kama unaishi dar hamia mbeya,ili ubadili hali ya hewa na aina ya watu..then make new friends with free minds...kama ulikua umeajiliwa achana na ajira kama utaweza fanya mambo mengine,mana ajira nazo zinazingua watu siku hizi..
Usipende kukaa pekee yako,..
Endapo umekaa peke yako basi uwe busy na internet ukisoma vitu mbalimbali hasa vya kijasiliamali..
yaani hakuna mtu hana shida maishani kuna watu utawaona wana raha ukipewa maisha yao dakika moja unakufa.Sio mawazo dear its just life challenges, unajua tunatofautiana wengine wako very delicate