Guru Master JF-Expert Member Jan 14, 2017 228 619 Jul 28, 2021 Thread starter #21 dokta lu said: Mpaka Arusha inakuwa Bei gani mkuu? Click to expand... Hili ngoja nlifanyie utafiti sijawahi safirisha to arusha
dokta lu said: Mpaka Arusha inakuwa Bei gani mkuu? Click to expand... Hili ngoja nlifanyie utafiti sijawahi safirisha to arusha
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 26,386 34,743 Jul 28, 2021 #22 Guru Master said: Nimeweka picha. Gharama ni mlango mmoja tsh 450,000 Mbao Mninga. Click to expand... Mninga tena sio Mkongo?
Guru Master said: Nimeweka picha. Gharama ni mlango mmoja tsh 450,000 Mbao Mninga. Click to expand... Mninga tena sio Mkongo?
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 26,386 34,743 Jul 28, 2021 #23 Upo vizuri Mkuu, sawa contacts zako ziko wapi?
wajingawatu JF-Expert Member Jan 20, 2013 2,048 2,442 Jul 28, 2021 #24 Hizi bei za milango zikabadilika kila mara, mimi ulianiamba 300k ilisiyopigwa rangi na 350k yenye polish. Au nasema uongo ndugu yangu?
Hizi bei za milango zikabadilika kila mara, mimi ulianiamba 300k ilisiyopigwa rangi na 350k yenye polish. Au nasema uongo ndugu yangu?
Guru Master JF-Expert Member Jan 14, 2017 228 619 Jul 28, 2021 Thread starter #25 wajingawatu said: Hizi bei za milango zikabadilika kila mara, mimi ulianiamba 300k ilisiyopigwa rangi na 350k yenye polish. Au nasema uongo ndugu yangu? Click to expand... Ni vizuri kuwa consistent and mkweli au kujua unazungumzia nini. Nioneshe hiyo text ambayo nimesema isiyopigwa rangi ni 300k na yenye polish ni 350k.
wajingawatu said: Hizi bei za milango zikabadilika kila mara, mimi ulianiamba 300k ilisiyopigwa rangi na 350k yenye polish. Au nasema uongo ndugu yangu? Click to expand... Ni vizuri kuwa consistent and mkweli au kujua unazungumzia nini. Nioneshe hiyo text ambayo nimesema isiyopigwa rangi ni 300k na yenye polish ni 350k.