Natafuta tenda za vyakula

Natafuta tenda za vyakula

loved girl

Member
Joined
Jan 29, 2022
Posts
74
Reaction score
89
Hellow, Habari zenu waungwana,

Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo natafuta oda ya vyakula mbalimbali, nina uwezo wa kupika vitafunwa, chakula cha mchana, kutengeneza juice na vimiminika vingine.

Pia napokea oda ya mikate na vitafunwa kwa mashuleni, kwasasa napikia nyumbani, kutokana na sababu za nje ya uwezo wangu, napatikana Dodoma karibu na road fund.

Nipe oda nikupikie chakula kwa ladha tamu ya chakula na usafi wa hali ya juu, bei poa, asante.
 
Baadhi ya kazi zanguView attachment 2413958View attachment 2413960View attachment 2413959View attachment 2413956View attachment 2413957
20221112_014708.jpg
 
Hellow, Habari zenu waungwana,

Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo natafuta oda ya vyakula mbalimbali, nina uwezo wa kupika vitafunwa, chakula cha mchana, kutengeneza juice na vimiminika vingine.

Pia napokea oda ya mikate na vitafunwa kwa mashuleni, kwasasa napikia nyumbani, kutokana na sababu za nje ya uwezo wangu, napatikana Dodoma karibu na road fund.

Nipe oda nikupikie chakula kwa ladha tamu ya chakula na usafi wa hali ya juu, bei poa, asante.
Safi sana dada! Hongera na Mungu akufanikishe.

Binafsi napenda kufanya kazi za Catering (ni Passion yangu pia). Nimejitolea kwa miaka kadhaa nikiwa chuo na hata baada ya kumaliza. Ungekuwa upo Dar es Salaam, ningekutafuta tufanye wote kazi.
 
Mkuu , unaweza kuwa unafatilia watu wanaitwa word vision
Wanatoaga tenda Sana za Chakula na wanalipa vizuri wewe unaweza kufatilia zaidi kwakuwa upo dsm then uanaenda unamtafuta Mtu mwenye vyombo mnafanya Kazi mkuu
 
Wanapatikana dar tu??
 
Ahsante kwa hiyo taarifa. Ila kwa sasa bado nipo Kigoma na kwenda Dar mpaka Desemba labda. Nitafuatilia lakini.
 
Back
Top Bottom