Natafuta tenda za masherehe zinazohitaji mpiga picha

Natafuta tenda za masherehe zinazohitaji mpiga picha

Elinipendo

New Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
4
Reaction score
1
Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote Nipigie namba 0658412948 kwa uhitaji wa mpiga picha
 
Sampuli sio halali kuweka kisheria na maadili ya kazi Kwani mwenye picha anayohaki kisheria kushtaki kwa kuitumia picha yake kwa matangazo bila ya kumlipa. Hivyo basi wasiliana nami kwa maelekezo zaidi 0658412948
 
Hujielewi wewe Mpiga Picha usiejulikana
 
nenda kona baa, mori, meeda, kimboka, tip top, sugar ray temeke sokota uwapige picha kwa ajili ya kuwatengenezea website kama ya www.nairobiraha.com mambo yawe DIJITALI
 
Back
Top Bottom