TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Zanzibar unaweza pia?Habari wadau,
Nina kampuni ambayo inafanya kazi za ujenzi na decoration imesajiriwa kisheria kwa jina la Lumona Decorators and building Contractors tangu 2009 ikiwa na leseni ya class five (5).
Tunafanya ujenzi wa majengo ya aina yote hata nyumba ndogo ndogo, magodown, tailling dams, maghorofa, madaraja na barabara. Pia tunafanya marekebisho ya majengo yaliyochakaa na kubomoa majengo, ramani za majengo n.k.
Tushafanya projects nyingi za halmashauri na za kijamii mfano ujenzi wa nyumba za NSSF za bei nafuu mtoni Kijichi mwaka 2017 "Construction of affordable housing scheme phase III at Mtoni Kijichi in Temeke Municipality Lot No:10" na nyingine nyingi.
Ofisi zetu zipo mtaa wa Lumumba-Dar Es Salaam, ila hata mikoani kama una kazi ya ujenzi tunakuja.
MAWASILIANO: 0685389159
Sawa bossZanzibar unaweza pia?
Kama Kuna kazi tunaenda mpk ZNZ kupiga..!Zanzibar unaweza pia?
Habari wadau,
Nina kampuni ambayo inafanya kazi za ujenzi na decoration imesajiriwa kisheria kwa jina la Lumona Decorators and building Contractors tangu 2009 ikiwa na leseni ya class five (5).
Tunafanya ujenzi wa majengo ya aina yote hata nyumba ndogo ndogo, magodown, tailling dams, maghorofa, madaraja na barabara. Pia tunafanya marekebisho ya majengo yaliyochakaa na kubomoa majengo, ramani za majengo n.k.
Tushafanya projects nyingi za halmashauri na za kijamii mfano ujenzi wa nyumba za NSSF za bei nafuu mtoni Kijichi mwaka 2017 "Construction of affordable housing scheme phase III at Mtoni Kijichi in Temeke Municipality Lot No:10" na nyingine nyingi.
Ofisi zetu zipo mtaa wa Lumumba-Dar Es Salaam, ila hata mikoani kama una kazi ya ujenzi tunakuja.
MAWASILIANO: 0685389159
Sangasu..hiyo nyumba ambayo haijakamilika , jamaa kaweka nguzo za tofali au nimeona vibaya?View attachment 1542907
Usiangaike kutafuta mbao kwajili ya ujenzi njoo kwetu tukuzie kwa bei ya viwandani, bei poa kabisa
=
=
=
TUNAPATIKANA Buguruni Chama
Tutakufikishia popote ulipo mzigo wako na kwa usalama mkubwa.
JARIBU @sangasu_hardware_store Huduma Bora
Wasiliana nasi kwa Simu Namba #0714801284 View attachment 1542907View attachment 1542907
Sangasu..hiyo nyumba ambayo haijakamilika , jamaa kaweka nguzo za tofali au nimeona vibaya?